Mshambuliaji wa Arsenal, Robin van Persie (kushoto) akileteana zogo na beki wa Aston Villa Alan Hutton katika mechi ya Ligi Kuu ya England juzi kwenye Uwanja wa Villa Park, Birmingham, England.
Arsenal ilishinda mabao ya Van Persie kwa penalti dakika ya 16 na Benayoun dakika ya 86, dhidi ya Albrighton dakika ya 53.
Comments
Post a Comment