ZANZIBAR YAANZA VIBAYA CHALENJI, BURUNDI YATISHA

ZANZIBAR imeanza vibaya michuano ya Cecafa Chalenji baada ya kufungwa mabao 2-1 na Uganda, huku Burundi nayo ikiitandika Somalia mabao 4-1.

Comments