YANGA KUANZA KUJIFUA LEO

MABINGWA watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara, Yanga leo wataanza rasmi kujinoa kwa ajili ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi hiyo.
Tayari baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wa kimataifa wameshawasili nchini tayari kuanza kujinoa chini ya kocha wao mkuu, KOstadin Papic.

Comments