TIP TOP CONNECTION NA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 J'2 @MAISHA CLUB


MENEJA-BABU TALE

MADEE-MSANII PEKEE ALIYEDUMU KWENYE KUNDI KWA MIAKA 10

TUNDAMAN-YUPO

MB DOG-AMEJITOA

KEYSHA-AMEJITOA

SPARK-AMEJITOA

RICHARD

CASSIM MGANGA- AMEJITOA

Z-ANTO- AMEJITOA

HAFLA ya kuadhimisha miaka 10 tangua kuanzishwa kwa kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese, Dar es Salaam itafanyika jumapili ya keshokutwa katika ukumbi wa Maisha Club.
Kutakuwa na burudani mbalimbali toka wasanii walipo katika kundi hilo, waliopata kupitia katika kundi na wasio wasanii wa kundi hilo.
Pia kutakua na matukio mbalimbali.

Comments