TANZANIA, KENYA ZAPIGANA VIKUMBO KUANDAA CAN 2017

TANZANIA na KEnya zipo mbioni kutuma mambi ya kuataka kuandaa fainali za mataifa ya Afrika (CAN) mwaka 2017.
Maamuzi ya nchi hizo kwa na nia ya kuandaa michuano hiyo mikubwa barani Afrika ni kutokana na kuwa na miundombinu inayokidhi vigezo vya kuwa mwandaaji.
Fainali hizo kwa mwakani zitapigwa Equatorial Guinea na Gabon.

Comments