SWAHILI FASHION WEEK WORKSHOP

BAADHI ya wabunifu wa mavazi na mitindo wanaoshiriki maonyesho ya Swahili Fashion Week 'SFW' wakimsikiliza mkurugenzi wa East& Central Africa Trade Hub, Finn Holm Olsen akiwapa mafunzo mbalimbali kuhusina na kazi yao hiyo.Semina hiyo imefanyika asubuhi ya leo kwenye jumba la MAkumbusho ya Taifa yanapoendelea maonyesho hayo yaliyoanza jana yakishirikisha wabunifu kutoka nchi za Kenya, Angola, Malawi, Afrika Kusuni, Botswana, UgandaMsumbiji na wenyeji Tanzania.

Comments