SIMBA 'YAFUNGA NDOA' YA MIAKA MIWILI NA WALULYA

VINARA wa ligi kuu soka Tanzania Bara, Simba imemsainisha mkataba wa miaka miwili beki wake mpya, Mganda Derick Walulya kwa ajili ya kuichezea timu hiyo kwenye ligi hiyo na michuano ya kimataifa.
Walulya kwa sasa yupo nchini na timu yake ya Taifa ambayo inashiriki michuano ya Chalenji inayoendelea, anatarajiwa kujiunga na Simba pindi atakapomaliza kuitumikia timu yake ya Taifa.

Comments