SIMBA, AZAM ZATINGA FAINALI YA UHAI CUP

TIMU za Vijana za Simba na Azam zinatarajiwa kuumana katika fainali ya michuano ya Uhai inayofikia tamati kwenye uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam kesho.
Simba imetinga hatua hiyo baada ya kuichabanga Toto African kwa mabao 4-1 kwenye mchezo wa nusu fainali huku, Azam ikiibamiza timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 17 'Serengeti Boys', mabao 3-1
Mshindi katika michuano hiyo inayiodhaminiwa na kampuni ya S.S. Bakhresa kupitia maji ya Uhai, ataondoka na kitita cha shilingi mil.1.

Comments