SIMBA, AZAM WATINGA ROBO FAINALI UHAI CUP

TIMU za vijana za Simba, JKT Oljoro, Azam, Moro United na Serengeti Boys zimetinga robo fainali ya michuano ya Uhai Cup.
Timu nyingine itakayokamilisha idadi ya timu zitakazoshiriki hatua hiyo itapatikana mara baada ya mechi kati ya Yanga na Villa Squad.
 Katika michezo ya leo Simba ilitoka sare ya bao 1-1 na Serengeti Boys, huku Mtibwa Sugar na JKT Oljoro nao wakitoka sare ya bao 1-1.

Comments