NYOTA WA ZAMANI KUKUMBUSHIA ENZI ZAO KATIKA CHALENJI

MWENYEKITI wa Tanzania All Stars, Kitwana Manara akizungumza na wandishi wa habari kuhusiana na ushiriki wa wachezaji wa zamani  wa soka waliowahi kuzichezea timu za Taifa katika ya mwaka 1960 hadi 1986 za nchi za Tanzania Bara, Zanzibar, Uganda na Kenya kushiriki  michuano ya Chalenji inayotarajiwa kuanza Novemba 25 kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Kulia ni Katibu wa taasisi hiyo, Lawrance Mwalusako.
Alisema  kupitia michuano hiyo watakuwa wakicheza dakika 20 kabla ya kuanza kwa mechi husika ambapo wachezaji kutoka nchi hizo wataunda kombaini ya timu mbili tofauti.

Comments