NGASSA, SAMATTA MAJERUHI

KILIMANJARO Stars  itawakosa  nyota wake wawili katika michezo inayofuata ya kombe la Chalenji,  Mbwana Samatta na Mrisho Ngassa.
Kocha mkuu wa Kilimanjaro Stars, Charles Boniface Mkwasa amesema kuwa Ngassa anasumbuliwa na malaria, wakati Samatta amechanika nyama za paja.
Stars itatupa karata yake ya mwisho kesho katika mechi za hatua ya makundi kwa kukipiga na Zimbabwe. 

Comments