MWANA FA , CHOKORAA KUZINDUNDA DESEMBA 18

MSANII wa hiphop nchini Hamis Mwinjuma 'Mwana Fa' pamoja na rapa wa bendi ya dansi ya Mapacha watatu, Kharid Chokoraa wataonyesya vipaji vyao vya ngumi kupitia pambano lao litakalorindima Desemba 18 kwenye ukumbi wa Mzalendo Pub.
Pambano hilo la raundi tatu litakuwa la utangulizi wa pambano la kuwania ubingwa ubingwa wa Afrika kati ya Mrisho Rajab 'Van Damme' dhidi ya Mnyarwanda Ibrahim Nuksi.

Comments