MKWASA KUANIKA KIKOSI CHA CHALENJI KESHO

Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro), Charles Boniface Mkwasa kesho (Novemba 17 mwaka huu) saa 6 mchana atakuwa na mkutano na waandishi wa habari.

Mkutano huo utafanyika ofisi za TFF ambapo pamoja na mambo mengine atatangaza kikosi kitakachotetea Kombe la Chalenji.

Comments

  1. YANGA BOMBA- UHURU BRANCHNovember 17, 2011 at 8:08 AM

    HAYO MASHINDANO JAMANI HAINA HAJA YA "KUANIKA KIKOSI" TIMU YA VIJANA UNDER 20 NDIO INGESHIRIKI ILI KUIIMARISHA IWEZE KUILISHA TIMU KUBWA AMBAYO INGEBAKI KU CONCETRATE KWENYE WORLD CUP!SISI KILA MASHINDANO LAZIMA TUPELEKE TIMU YA WAKUBWA TUACHE UOGA WENZETU WANAFANYA HIVYO NA WANAFANIKIWA SANA

    ReplyDelete

Post a Comment