MILOVAN KUTUA MSIMBAZI J'2

KOCHA aliyepata kuifundisha Simba kwaka juzi, Mserbia Milovan Cirkovic anatarajiwa kuwasili jumapili kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuinoa timu hiyo.

Taarifa zinasema mazungumzo baina ya mabosi wa Simba na kocha huyo yanakwenda vema na tayari ameshatumiwa tiketi ya ndege.

Comments