MILOVAN APEWA MIEZI SITA YA UANGALIZI

WAKATI ikiwa katika mazungumzo na kocha wake mpya, Mserbia Milovan Cirkovic, Simba imempa miezi sita ya uangalizi kuangalia utendaji wake ndani ya klabu hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo, kocha huyo atasaini mkataba wa kuinoa timu hiyo wakati wowote kuanzia sasa.
Ujio wa Milovan unafuatia klabu hiyo kumtupia vilago aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mganda, Moses Basena .

Comments