MASHINDANO YA KOVA CUP YANAENDELEA

 Bondia Mussa Mohamedi (kulia) kushoto akioneshana ufundi wa kutupa makonde na John Christian wakati wa mashindano ya Kova Cup Dar es salaam jana Mussa alishinda kwa point.
 Bondia Sunday Elius akipambana na Abdallah Kasimu wakati wa mashindano ya Kova Cup Dar es salaam jana Kasimu alishinda kwa point
Baadhi ya mashabiki wa mchezo huo wakishuhudia (picha zote kwa hisani ya Superd Bonxing Coach)

Comments