MAONYESHO YA SWAHILI FASHION WEEK YANAENDELEA





 Hilo ni banda la Green World wanauza madawa ya kila aina kwa ajili ya virutubisho vya mwili, wanatoa sumu mwili, kuondoa mafuta, kupunguza uzito, kung'arisha ngozi, kupunguza uzee n.k
Mdau Amina Athuman wa gazeti la MAjira akipata tiba ya kupunguza kitambi toka banda la Green World

Comments