MAMBO YAZIDI KUNOGA UANZISHWAJI KAMPUNI YA KUSIMAMIA LIGI

 KAMATI ya mpito iliyoteuliwa na TFF kwa ajili ya kusimamia mchakato wa kuanzishwa kampouni itakayosimamia ligi nchini, imewateua wajumbe wake watatu Geofrey Nyange 'Kaburu', Damas Ndumbaro na Meja Mbuge.
Wajumbe hao watashirikiana na kamati ya mpito ilitoundwa na vilabu kwa ajili ya kuendesha mchakato huo.

Comments