JULIO AWAITA MGOSI, SMG KILI STARS

KOCHA msaidizi KIlimanjaro Stars, Jamhuri Kihwelo amewaita washambulijia wanaocheza nje, Said Maulid 'SMG' anayekipiga nchini Angola na Mussa Hassan Mgosi anayekipika klabu ya DC Motema Pembe ya Jamhuri ya KIdemokrasia ya Congo kujiunga nas kikosi hicho kinachojiandaa na michuanio ya Chalenji inayotarajiwa kuanza kutimua vumbni, Novemba 25 jijini Dar es Salaam.
Julio amemuita Mgosi kuziba nafasi ya John Bocco 'Adeboyor' ambaye ni majeruhi, huku SMG akichukua nafasi ya Nizar Khaklfan ambaye amekwenda nchini Canada klwa ajili ya kushuhghulia suala lake la mkataba na klabu yake ya Vasncouver Whitecaps ya huko..

Comments