CHUJI AWEKEWA ULINZI

KABLA ya kumpa mkataba rasmi wa kazi, Yanga imempa uangalizi wa  uangalizi kwa kipindi cha miezi sita kiungo wake iliyemrejesha, Athuman Idd 'Chuji'.
Hatua hiyo inatokana na matatizo ya utovu wa nidhamu yanayomuandama mchezaji huyo kiasia cha kusababisha kiwango chake cha soka kuporomoka kila kukicha.
"Hayo ni mapendekezo ya kocha wetu mkuu, PApic', Alisema kiongozi mmoja wa Yanga.

Comments