BONDIA UBWA SALUM AJIFUA KUMKWAA MUSTAFA DOTO

Bondia Ubwa Salum (kushoto) na Omari Bayi wakioneshana umwamba wa kutupa masubwi wakati wa Mazoezi ya Kambi ya Ilala Dar es salaam jana Ubwa anajiandaa na mpambano wake na Mustafa Doto Desemba 25 mwaka huu (picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Comments