BONDIA FRANCIS MIYAYUSHO AENDELEA KUSHEREHEKEA UBINGWA

 Bondia Fransic Miyayusho wa pili kulia akiwa katika picha ya pamoja na promota wake Mohamedi Bawaziri na kushoto ni Mdau wa michezo Wilaya ya Kinondoni Prosper Mzee pamoja na kocha wake msaidizi kulia
Bondia Fransic Miyayusho akimkabiziakimkabizi mkanda aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Ngumi za Ridhaa Nchini(BFT) ambaye sasa ni Mfadhiriwake Meja, David Kyungu wakati wa sherehe za kumpongeza baada ya kumdunda BOndia MBwana Matumla na kuchukua ubingwa wa UBO shere hizo zilifanyika katika ukumbi wa Katumba Bar Kinondoni.
Bondia Fransic Miyayusho akimkabiziakimkabizi mkanda aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Ngumi za Ridhaa Nchini(BFT) ambaye sasa ni Mfadhiri wake Meja, David Kyungu wakati wa sherehe za kumpongeza baada ya kumdunda BOndia MBwana Matumla na kuchukua ubingwa wa UBO shere hizo zilifanyika katika ukumbi wa Katumba Bar Kinondoni
Msanii Recho akiongea wakati wa sherehe ya kumpongeza bondia Francis Miyayusha ambapo amesema atashirikiana nae bega kwa bega mpaka kuakikisha kinajegwa chuo cha sanaa KInondoni kwa ajili ya michezo mbalimbali Wilayani humo(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/).

Comments