BOBAN AENDELEA KUJIRUSHA AKILI

AMIN usiamini, kiungo mshambuliaji wa Simba, Haruna Moshi 'Boban' amedai kutokuwa na taarifa za kuitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya BAra 'Kilimanjaro Stars' iliyoingia kambini jana kujinadaa na michuano ya Chalenji inayotarajiwa kuanza Novemba 25, jijini Dar es Salaam.
Boban ambaye amekuwa haishi kuzua vioja kila kukicha amedai kutokuwa na taarifa yoyote juu ya kuitwa kwake katika kikosi hicho kinachonolewa na makocha wazawa, Charles Mkwasa na Jamhuri Kihwelo 'Julio'
'Nipo nje ya Dar es Salaam na sifahamu chochote kuhusu kitu hicho', Alisema.

Comments

  1. YANGA BOMBA- UHURU BRANCHNovember 20, 2011 at 2:27 AM

    HUYU DOGO NI SIKIO LA KUFA NAJUA WAANDISHI MNAMPENDA LAKINI HANA MPANGO WALA NINI,BANGI TU!MNAMPA KICHWA BURE KUMPA PUBLICITY!

    ReplyDelete

Post a Comment