AZAM YAMFUNGA BABI MIEZI 18

AZAM Fc imemsanisha mkataba wa miezi 18, kiungo wa Tanzania aliyekuwa anakipiga klabu ya DT Long An ya Vietnam, Abdi Kassim Babi kwa ajili ya kuichezea timu hiyo katika ligi kuu na mashindano mengine.
Babi ambaye kabla ya kwenda huko alikuwa anakipiga klabu ya Yanga, ameamua kuvunja mkataba wake huko kutokana na timu hiyo kushuka daraja.

Comments