VODACOM MISS TANZANIA AENDA UINGEREZA TAYARI KUSHIRIKI MISS WORLD

 Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Israel akipunga mkono wakati akiwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana alipokuwa akiondoka nchini kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazo fanyika mwezi ujao
 Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Israel (katikati) akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi (kulia) katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana alipokuwa akiondoka kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao.
 Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Israel (kushoto) akiwa na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana  alipokuwa akiondoka kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao.
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Israel (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi (kushoto), Mama yake mzazi Sabrina Hamisi na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana walipo msikindikiza kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao. (Picha zote na www.mrokim.blogspot.com) .

Comments