STARS USO KWA USO NA MOROCCO USIKU WA LEO

TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars usiku wa leo inashuka katika dimba la The Great lililopo katika jiji la Marrakech nchini Morocco kukwaana na wewnye katika mechi ya mwisho ya kundi kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani huko Gabon na Equatorial Guinea.
Ili stars iweze kufuzu fainali hizo ambazo kwa mara ya kwanza na ya mwisho kushiriki ilikuwa mwaka 1980 inahitaji kushinda bao 3-0 ama kufungwa bao 1-0, huku ikiomba Algeria ifungwe na Jamhuri ya Afrika ya Kati bao 1-0.
KILA LA HERI STARS WATANZANIA TUPO NYUMA YENU KWA SALA!

Comments