SIMBA YALIPA FADHILA KWA NYAGAWA

KLABU ya soka ya Simba imelipa fadhila za aliyekuwa nahodha wake, Nico Nyagawa baada ya kumpa nafasi ya umeneja wa timu hiyo.
Nyagawa aliyesajiliwa na Simba mwaka 2005 akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro, aliachwa dakika za mwisho kwenye usajili wa Simba katika msimu huu bila taarifa zozote.
Nyagawa amekuwa nahodha wa timu hiyo kwa zaidi ya misimu mitatu.

Comments