SIMBA WAJITWISHA ZIGO LA STARS CHAD

KLABU ya simba imeunda kamati maalum ya kuhakikisha ushindi unapatikana katika mechi ya mchujo wa Kombe la Dunia kati ya Taifa Stars dhidi ya Chad itakayopigwa Novemba 11 mwaka huu katika jiji la N'Djamena.
 Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana jana, kamati hiyo itashirikiana na serikali pamoja na wadau mbalimbali wa soka katika kuipa sapoti timu hiyo ili kuhakikisha inashinda mechi hiyo.
Pamoja na mkakati huo, baadhi ya wajumbe wa kamati mbalimbali za timu hiyo wamejitolea kwa gharama zao kusafiri na timu hiyo katika mechi yake hiyo.
" kuna wajumbe wapo tayari kujigharamia kwenda Chad kuhamamsisha, kwani tukifungwa hatutashiriki michuano yoyote ya kimataifa kwa miaka miwili hivyo Simba haiwezi kukubali hali hiyo,"Alisema.

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHOctober 18, 2011 at 9:59 PM

    MBONA HAWAJITAJI HAWA WATU WA SIMBA?WANAOGOPA NINI..?WAJITOKEZE HADHARANI WAWEKE MAJINA YAO SIO KUKAA MSITUNI NA KULETA HABARI ZA MARUHANI ZISIZO NA CHANZO.

    NIKIJA KWENYE HILI LA ETI TIKITOLEWA NA CHAD TUTAKAA 2 YEARS BILA MASHINDANO..!!!NIULIZE HIVI MIAKA HII MFULULIZO TULIYOSHIRIKI TUMEPATA NINI NA TUMEKOSA NINI?WATANZANIA WENZANGU LAZIMA TUKUBALI SOKA LETU LINAUMWA TENA LIKO ICU LINAPUMULIA MASHINE AMBAYO NI RAIS WETU MH.JAKAYA KIKWETE,YEYE NDIO MASHINE INAYOSUPPORT ANGALAU MAISHA YA SOKA LA BONGO KU SURVIVE,MASHINE HIYO IKIZIMIKA KWA MAANA YA JK AKIONDOKA MADARAKANI SOKA LETU LITAANZA RASMI SAFARI YA KUELEKEA TO THE GRAVE YARD SIJUI ITAKUA NI PALE UPANGA,SINZA OR WHATEVER MRADI KUZIKWA TU.

    SASA NINI CHA KUFANYA KULINUSURU SOKA LETU KATIKA LEVEL YA NATIONAL TEAM?

    NI HIVI...TUJITOE KATIKA HAYO MASHINDANO AMBAYO WANYAMA WANADAI WANATAKA KUJITOLEA ETI HAWAWEZI KUKUBALI HALI HIYO!!!WIZI MTUPU...KAMA WALIKUA NA UWEZO HUO WANGEZUIA SIMBA ISITOLEWE NA TP MAZEMBE MWANZO NA BAADE NA WALIPATA NAFASI YA KUJITETEA KUFUATIA KUSHINDA RUFAA,NA BAADAE TENA WALIPOPELEKWA KWENYE CAF NDOGO KWA KUPAMBANA NA DARLING CLUB MOTEMA PEMBE..WALIPATA NAFASI TATU ZA MASHINADANO YA CUF WAMESHINDWA LEO WANATAKA KUSEMA WATAKUA NA JIPYA GANI LA KUISADIA NATIONAL TEAM?HUU NI UONGO!KUNA KITU WANATAKA NDIO MAANA WANAJIFICHA HATA MAJINA HAWATAJI ILI WAPIME UPEPO!!!NA KAKANGU TENGA AKITAKA KUHARIBIKIWA AWAKUBALIE...USHAURI WANGU TUJITOA TUVUNJE TUIVUNJE HII TIMU YA WAZEE THEN TUINVEST KWENYE UNDER 20 NA UNDER 17,HAO NDIO WATAKAOTUTOA,WATAFUTIWE KOCHA WA KIMATAIFA,WATAFUTIWE MECHI ZA MAJARIBIO KAMA 70 HIVI NDANI YA MIAKA MIWILI NA NCHI ZINAZOELEWEKA,TENA NYINGI KATI YA HIZO WATOKE WAO KWENDA KUZIFUATA NJE SIO DAR,WASHIRIKI CHALLENGE CUP ZOTE NDANI YA HIYO MIAKA MIWILI,WATAFUTIWE ZIARA ZA MAFUNZO NJE YA NCHI KAMA ILE TRIP TULIYOPELEKA WAZEE BRAZIL,ILITAKIWA WAENDE KINA NGASA KIPINDI KILE SIO KINA SAID MAULID!THIS TIME TUPELEKE HAWA UNDER 17 NA UNDER 20 THEN AFTER 2 YEARZ MTANIAMBIA KAMA KUNA TIMU YEYOTE NJE ITATOKA IKIJA TEMEKE PALE

    MDAU YANGA BOMBA-MICHIGAN CITY,USA.

    ReplyDelete
  2. Tukuyu star- BanyambalaOctober 19, 2011 at 4:18 PM

    Strong point!! mdau wa yanga bomba umenena.

    ReplyDelete

Post a Comment