SIMBA WAIVUTIA PUMZI YANGA BAMBA BEACH

WEKUNDU wa Msimbazi Simba leo wameingia kambini katika hotel ya Bamba Beach iliyopo Kigamboni, kujiandaa na michezo yake ya ligi kuu ikiwemo ule dhidi ya watani wao, Yanga utakaopigwa Oktoba 28.
Kocha wa Simba, Mzambia Moses basena amesema lengo la kupiga kambi huko ni kuwapa mazoezi wachezaji wake ambayo yatawasaidia kuwajengea stamina na kuongeza pumzi.

Comments