SIMBA WAANZA KAZI, BASENA AWASILI

VINARA wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba, wameanza mazoezi asubuhi ya leo kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, chini ya kocha msaidizi, Abdallah 'King' Kibaden.
Aidha, kocha wao mkuu, Mganda Moses Basena amewasili jioni ya leo ambapo kesho ataendelea na kazi ya kukinoa kikosi hicho.
Mpaka sasa Simba inaongoza ligi hiyo kwa pointi 18, ikifuatiwa na JKT Oljoro yenye pointi 16, Azam yenye pointi 15 inashika nafasi ya tatu.

Comments