RAGE AZIPA RUNGU KAMATI MPYA ZA SIMBA KWA MASHARTI


WAKATI kamati mbalimbali za klabu ya Simba zikikubaliana kwa kauli moja kufanya kazi kwa ushirikiana, mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage amezipa 'Rungu' kamati hizo kufanya kitu chochote ambacho kitakuwa na manufaa kwa klabu hiyo.
Maazimio hayo yamefikiwa jana katika kikao baina ya viongozi wa klabu hiyo, wajumbe wa kamati na benchi la ufundi, huku Rage akiwatahadharisha wajumbe hao kuhakikisha hawavunji katiba ya Simba.

Comments