OKWI, BOBAN WAIREJESHA SIMBA KILELENI

MABAO 2 yaliyofungwa na Emmanuel Okwi na Haruna Moshi 'Boban' yameiwezesha timu hiyo kurejea katika kilele cha ligi kuu soka Tanzania bara.
Simba ilikwaana na Ruvu Shootinga katika Uwanja wa Chamazi ambapo mpaka dakika 90 zinamalizika ilitoka kifua mbele kwa mabao 2-0.
Kwa ushindi huo Simba imefikisah pointi 24 na hivyo kuongoza ligi hiyo, huku nafasi ya pili ikishikilkiwa na JKT Oljoro yenye pointi 19 na Azam inashika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 18.

Comments