MR FLAVOUR AWASILI TAYARI KUPAMBA FAINALI ZA BSS

MSANII kutoka nchini Nigeria Chinedu Carlos ‘Mr. Flavour’ (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana mara baada ya kuwasili kwe uwanja wa ndege wa Mwl.JK Nyerere.Msanii huyo anatarajiwa kupamba fainali za Bongo Star Search zitakazofanyika leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, kushoto ni msanii kutoka Uganda Daniel Kagonzo ‘Navio’  katikati ni mkurugenzi wa wa Benchmark Productions, Ritha Paulsen.

Comments