MNUSO WA HARUSI YA ZAINABU MN'GOMBE NA OMARY BUKANU

 Bwana na Bi Harusi wakipata chakula cha pamoja na wapambe wao.
 Mdau Asha Kigundula (Shoto),akiwa pamoja na mdogo wake Zainab na shemeji yake bukanu, katika hafla maalum iliyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa Flamingo mbezi Beach Dar es Salaam.
 Mama mzazi wa Bi Zainab, Halima Mwinshehe Said akiwa na mumewe Omar Mn'gombe.





Asha akiwa  na shemeji yake bukanu, katika hafla maalum iliyofanyika kwenye ukumbi wa Flamingo mbezi Beach Dar es Salaam.

Comments