MAULID KITENGE ATEULIWA KUWA MSEMAJI WA BMT, MH.JENISTA MHAGAMA MAKAMU MWENYEKITI

                                                                 MAULID KITENGE
JENISTA MHAGAMA
MWENYEKITI wa BAraza la Michezo la Taifa (BMT) Dioniz Malinzi amemteua Mbunge wa Peramiho (CCM) ambaye pia ni mjumbe wa BMT, Mh.Jenista Mhagama kuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo.
Aidha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa Habari za Michezo Tanzani (TASWA) na Mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One ambaye pia ni mjumbe wa baraza hilo, Maulid Kitenge, ameteuliwa kuwa Ofisa Habari wa BMT.

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHOctober 23, 2011 at 6:30 PM

    HONGERA ZAKO KITE A.K.A.BABA SHADYA!!!!

    SAYZ MDAU WA BOMBA-USA

    ReplyDelete

Post a Comment