KOCHA MARCIO MAXIMO SHAVU DODO, AKUTANA NA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NCHINI BRAZIL

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu, Marcio Maximo kwenye hoteli ya JW MARRIOTT ya Rio de Janeiro akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil Oktoba 8,2011 Katikati ni mkewe Tunu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments