HAPPY BIRTHADAY MY BABY PRECIOUS

LEO my First Born Precious ametimiza miaka 10 ya kuzaliwa, mimi mama yako nakutakia kila la heri na afya njema katika maisha yako.Umtangulize Mwenyezi Mungu kwa kila jambo, INSHAALLAH.
Pokea pongezi kutoka kwa wadogo zako, PRINCESS ASIA na PRINCE AKBAR, Baba,babu bibi, shangazi na wajomba zako. 

Comments