DEO NJIKU KATIKA MAANDALIZI YA KUZIDUNDA NA JONAS SEGU

 Bondia Deo Njiku akifanya mazoezi ya misuri ya tumbo kwa kutumia viaa vya kisasa kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa zidi ya Jonas Segu wa Dar es Salaam litakalofanyika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro wiki ijayo



 Kocha wa Mchezo wa ngumi, Boma Kilangi (kushoto) akimsimamia mazoezi bondia Deo Njiku wa Morogoro wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa zidi ya Jonas Segu wa Dar es Salaam  litakalofanyika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro wiki ijayo
Bondia Deo Njiku akifanya mazoezi ya misuri ya tumbo kwa kutumia viaa vya kisasa kwa ajili ya  kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa zidi ya Jonas Segu wa Dar es Salaam  litakalofanyika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro wiki ijayo (picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/).

Comments