YANGA YAONA MWEZI CHAMAZI


MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara, Yanga leo wamefanikiwa kuifunga Villa Squad mabao 3-2, katika mechi ya ligi hiyo iliyopigwa kwenye dimba la Chamazi, jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo uliokuwa na upinzani mkubwa, mabao ya Yanga yalifungwa na Haruna Niyonzima, Keneth Asamoah na Hamisi Kiiza huku yale ya Villa yakifungwa na Mohammed Kijuso na Kigi Luseke.

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHSeptember 21, 2011 at 10:05 PM

    MWANANGU UWE UNATUWEKEA NA MSIMAMO WA LIGI BASI

    ReplyDelete

Post a Comment