YANGA WAWEWESEKA NA GUNDU LA LIGI KUU

KUFANYA vibaya kwenye ligi kuu soka Tanzania bara kumeifanya klabu ya Yanga kuanza kuweweseka baada ya kuandika barua kwa shirikisho la soka Tanzania (TFF) likimshitaki mwamuzi aliyechezesha mechi yao nna Ruvu Shooting jana kwenye dimba la taifa.
Yanga wameaweka wazi kuwa mwamuzi huyo alihusika kwa kiasi kikubwa kuihujumu timu yao kiasi cha kulazimisha sare ya bao 1-1, huku poia wakimlalamikia kwa kumlima kadi nyekundu mchezaji wao Haruna Niyonzima.
Kama hiyo haitoshi, viongozi wa matawi ya Yanga ya mkoa wa Dar es Salaam wameitisha kikao kitakachofanyia kesho na mada kuu ikiwa mustakabali mzima wa timu hiyo kwenye ligi kuu

Comments

  1. YANGA BOMBA- UHURU BRANCHSeptember 11, 2011 at 10:30 PM

    KUNA MTU ANAICHEZEA YANGA,SIDHANI KAMA INAPATA HAYA MATOKEO KIHALALI NA HUYO MTU MI NIMESHAMHISI,NI WA UPANDE WA PILI,NI KIPENZI SANA CHA WACHEZAJI WENGI KUTOKANA NA UKARIMU WAKE KWAO,SITAKI KUMTAJA KWA KUWA PIA NI KIPENZI CHENU WANAHABARI NIKIMTAJA COMMENT YANGU ITABANWA,ILA NI MWEUPE SANA KWA RANGI YA NGOZI YAKE NA KIUFUPI NDIO MUHIMILI WA WANYAMA FINANCIALLY KWA KIPINDI KIREFU SASA TOKA KD NA GENGE LAKE LILE LA KINA MLAMU WAJIWEKE PEMBENI,JAMAA ZANGU WA YANGA MSIPOSHTUKA MAPEMA HUYO JAMAA ATAWAFANYA KITU KIBAYA SANA NI MTU WA KUPENYA PENYA SANA NA NI MPIGANAJI SHUPAVU KWENYE MAMBO YA FOOTBALL FITNA...ANATISHA HATA AKIWA PEKE YAKE.

    MDAU WA BOMBA LA UHURU-U.S.A.

    ReplyDelete

Post a Comment