YANGA WAMSHIKA UCHAWI JERRY TEGETE


KLABU ya soka ya Yanga imemsimamisha kwa mwezi mmoja mshambuliaji wake, Jeryson Tegete kwa madai ya kuhusika kuihujumu timu.
Hatua hiyo inafuatia mchezaji huyo kuonyesha utovu wa nidhamu kwa kocha mkuu wa Yanga, Sam Timbe katika mazoezi  juzi katika uwanja wao wa Kaunda hapa jijini.
Kama hiyo hiyo haitoshi, Yanga imedai kuwa mchezaji huyo amekuwa akihusika kwa kiasi kikubwa kuidhoofisha timu kwa kucheza chini ya kiwango hali iliyochangia timu hiyo kufanya vibaya katika mechi zake zote tangu kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu bara, kiasi cha timu hiyo kushika mkia.

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHSeptember 13, 2011 at 4:01 PM

    HALAFU HUYU DOGO MI HATA MPIRA WAKE HUWA SIUONAGI,BORA WANGEMUACHA TU,NIKIWA HUKO BONGO NAKUMBUKA ALIVYOKUWA ANAKOSA MAGOLI YA WAZI HATA AKIBAKI YEYE NA KIPA,KIUFUPI MIMI SIJAWAHI KUMKUBALI HATA SIKU MOJA,NASHANGAA HATA TIMU YA TAIFA MAXIMO ALIKUA ANAMWITA...SIJUI KWA KIGEZO GANI?HALAFU ANAPENDA SANA MAJUNGU,MSHAMBULIAJI YEYOTE AKISAJILIWA YANGA ANAMUANZISHIA MAJUNGU,ALIFANYA HIVYO KWA AMBANI,MWAPE NA SIJUI ASSAMOH KWA KUWA SIPO HUKO BONGO SIJUI,YANGA WAMUUZE KWA MKOPO TOTO AFRICA,ARUDI KWAO MWANZA AKAMALIZIE MPIRA WAKE HUKO,YEYE NA CHUJI NI WATU WA MAJUNGU SANA HALAFU WANA USTAR WA KIZAMANI,KOCHA ASIPOWAPANGA WANAMUANZISHIA MAJUNGU NA KUSHAWISHI WACHEZAJI WAMCHUKIE

    ReplyDelete

Post a Comment