WAREMBO MISS TANZANIA WATEMBELEA TBL LEO



WAREMBO wanaoshiriki shindano la kumsaka Vodacom Miss Tanzania leo wametembelea kampuni ya bia Tanzania (TBL) kwa ajili ya kujionea shughul;i mbalimbali zinmazofanywa na kiwanda hicho.
TBL kupitia kinywaji cha Redd;'s inadhamini shindano hilo ambalp wadhamini wake wakuu ni kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom.

Comments