WALES YAPATA USHINDI MWEMBAMBA NYUMBANI

Mchezaji wa Montenegro, Milorad Pekovic (kulia) akiwa amechuchumaa kwa machungu baada ya kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Wales katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za Euro 2012, kwenye Uwanja wa Cardiff City mjini Cardiff, Wales usiku huu.

Comments