WAHANDISI SIMBA SC ARENA KUTUA OKTOBA 5

WATALAMU wa masuala ya ujenzi kutoka nchini Uturuki wanatarajiwa kuja nchini Oktoba 5 kwa ajili kulifanyia tasmini eneo linalotarajiwa kujengwa uwanja wa klabu hiyo ‘Simba Sc Arena’, huko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Simba iliingia mkataba na kampuni ya Gidas ya huko kwa ajili ya kujenga uwanja huo ambao utakuwa na  uwezo wa kuingiza watazamaji  zaidi ya 30,000 kwa wakati mmoja, sambamba na kuwepo kwa maduka, kumbi za mikutano na migahawa

Mwenyekiti wa Klabu hiyo Ismail Aden Rage, alisema kwa njia ya simu jana kwamba mara baada ya wataalamu haio kufanya tathmini, watawataarifu wanachama wao kabla ya kuanza mchakato wa ujenzi.

Comments

  1. YANGA BOMBA - UHURU BRANCHSeptember 27, 2011 at 5:15 AM

    HA HA HAAAAAAAAA!ADEN BWANA..ANAWAPATIA ILE MBAYA WANYAMA ILA KUNA SIKU WATASTUKA ATAJUTA KUWAFAHAMU!

    ReplyDelete

Post a Comment