UJERUMANI YAFANYA MAUWAJI YA KUTISHA ULAYA

Kiungo wa Ujerumani,  Bastian Schweinsteiger, kiungo Mario Goetze na kiungo André Schuerrle wakishangilia ushindi wa mabao 6-2 baada ya bao la Goetze katika mechi ya kuwania kucheza fainali Euro 2012 dhidi ya Austria mjini Gelsenkirchen, Ujerumani usiku huu.

Comments