TIMBE AENDA KWAO KUSAKA UBANI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Sam Timbe ameondoka leo kwenda kwao Uganda kwa ajili ya mapumziko mafupi ya ligi.
 Ofisa habari wa Yanga Louis Sendeu alisema mapumziko hayo ya siku tatu, pia yanawahusu wacheza wa Yanga ambayo ni ya siku tatu hivyo wachezaji pamoja na kocha wanatarajia kuwasili kwa ajili ya kuendelea na ligi. 
“Wachezaji wote wako katika hali nzuri, hakuna majeruhi pia ushindi wa juzi ni mwanzo wengine wapokee salamu kutoka Tanga,” alisema Sendeu.

Comments