TFF YAZIDI KUBORONGA, YAVURUGA RATIBA YA VPL

TOTO AFRICANS v OLJORO JKT
Tumepokea ombi la kusogeza mbele kwa siku moja mechi iliyotajwa hapo kutokana na Uwanja wa CCM Kirumba kuwa awali ulikuwa umeombwa kwa ajili ya shughuli nyingine ya kijamii inayofanyika kesho (Septemba 25 mwaka huu).
  Ombi hilo limekubaliwa, hivyo mechi kati ya Toto Africans na Oljoro JKT sasa itachezwa Jumatatu ya Septemba 26 mwaka huu kwenye uwanja huo huo.
Nawatakiwa mchezo mzuri ambao bila shaka utakuwa burudani tosha kwa mashabiki wa mpira wa miguu wa Mwanza na mikoa ya jirani.

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHSeptember 24, 2011 at 7:01 PM

    WAMEBORONGA WAPI SASA?SI UNAJUA TFF WANAMILIKI UWANJA MMOJA TU TANZANIA NZIMA?SASA KAMA WENYE MAMLAKA NA UWANJA WANATAKA KUUTUMIA KWA SHUGHULI NYINGINE TFF WAFANYE NINI?AU UNASHAURI WANGEIHAMISHIA MECHI HIYO ILALA STADIUM AMBAO NYIE MNAUITA KARUME STADIUM?MAANA NDIO WANA MAMLAKA NAO,VIWANJA VINGINE VYOTE WANA RENT BI DADA.

    ReplyDelete

Post a Comment