SIMBA WATUA KAGERA KUENDELEZA DOZI

VINARA wa ligi kuu soka Tanzania Bara, Simba Sc wapo mjini Kagera kujiandaa na mechi yao ya ligi hiyo dhidi ya wenyeji Kagera Sugar.
Simba ilitua jana huko ikitokea Dar es Salaam ambapo safari yao hiyo ilipatwa na misukosuko kidogo baada ya ndege ya Presicion waliyokuwa wakijiandaa kuruka nayo kupata hitilifu kidogo hivyo kutakiwa kusubiri kabla ya baadaye kuendelea na safari yao.
Simba imepania kuendeleza ushindi kwenye ligi hiyo iliyoanza agosti 20

Comments