SIMBA WASHUSHWA KWENYE NDEGE DAR

WACHEZAJI wa Simba SC wameshushwa kwenye ndege mchana huu wakiwa safarini kuelekea Kagera kucheza na wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Maofisa wa ndege ya Precession Air walisema sababu ya kuwashusha ni hitilafu walizobaini kwenye ndege hiyo na hadi sasa bado hawajaanza safari hiyo. endelea kufuatilia mamapipiro juu ya hatima ya safari hiyo ya Simba SC.

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHSeptember 16, 2011 at 8:44 PM

    UKIONA HIVYO UJUE WALITAKA KUKOPA...POA NGOJA TUFUATILIE TUONE UTAKUJA NA LIPI..

    ReplyDelete

Post a Comment