SIMBA WAPUMZIKA, BASENA ATIMKA

Wakati kocha mkuu wa Simba Mganda Moses Basena akitimkia kwao, wachezaji wa timu hiyo wamepewa mapumziko mafupi hadi oktoba mosi.
Basena amekwenda kwao kwa ajili ya kumuuguza mama yake, huku wachezaji hao wakitarajiwa kuanza mazoezi oktoba mosi ili kujiandaa na michezo yaio ya ligi kuu soka tanzania bara

Comments

  1. YANGA BOMBA - UHURU BRANCHSeptember 27, 2011 at 10:11 PM

    BESENA KAANZA KALE KA MCHEZO KA MZAMBIA PHIRI,KAZI KWENU WANYAMA,MAUMIVU YA KICHWA CHA JUU HUANZAGA POLE POLE

    ReplyDelete

Post a Comment